[아프리카언어 ]스와힐리어 회화 레스토랑에서
1. Wewe unapenda kula chakula gani?
어떤 음식 먹기를 좋아 하십니까?
(What food do you like to eat?)
a). Mimi ninapenda kula ___. (I like to eat ___.)
b). Mimi sipendi ___. (I do not like ___.)
2. Wewe unapenda chakula gani?
어떤 음식을 좋아 하십니까 ?
(What food do you like?)
a). Mimi ninapenda ___. (I like ___.)
b). Mimi sipendi ___. (I do not like ___.)
3. Wewe unapenda kununua chakula gani?
(어떤 음식을 사시겠습니다.)
(What food do you like to buy?)
a). Mimi ninapenda kununua ___. (I like to buy ___.)
b). Mimi sipendi ___. (I do not like ___.)
4. Wewe unapenda kupika chakula gani?
( 어떤 음식을 요하시는 것을 좋아하십니까?)
(What food do you like to cook?)
a). Mimi ninapenda kupika ___. (I like to cook ___.)
b). Mimi sipendi kupika ___. (I do not like to cook ___.)
5. Wewe hupendi chakula gani?
( 어떤 음식을 좋아하지 않습니까?)
(What food don’t you like?)
아래 음식명을 이용하여 위 문제를 풀어 보시기 바랍니다.
Chakula / vyakula
mboga / mboga
[food / foods]
[vegetable / vegetables]
dengu / dengu [mung bean / lentils]
jibini / jibini [cheese / cheeses]
kabeji / kabeji;
kabichi
[cabbage / cabbages]
kiazi / viazi [potato / potatoes]
maharagwe / mandondo
maharagwe / mandondo
[bean / beans]
mahindi [maize / corn]
mahindi ya kuchoma
mbaazi / mbaazi
[roasted maize / corn]
[pea / peas]
mchele [uncooked rice]
wali [cooked rice]
mchicha / michicha [spinach / spinaches]
mchuzi / michuzi [soup / soups]
muhogo / mihogo [cassava / cassavas]
nyama / nyama [meat / meats]
nyama ya kondoo [mutton]
nyama ya kuku [chicken meat]
nyama ya mbuzi [goat meat]
nyama ya ng'ombe [beef]
nyama ya nguruwe [pork]
nyama ya kuchoma [roasted/grilled meat]
kuku [chicken]
samaki
pilipili
[fish]
스와힐리 음식 재료들 (아프리카 음식 재료들 )
[pepper]
pilipili hoho [chili pepper]
pilipili manga [black pepper]
pilipili saumu
pilipili kichaa
siagi
[pepper garlic]
[hot pepper]
[butter]
sukuma wiki [collard greens]
unga [flour]
unga wa mahindi [corn flour]
unga wa ngano [wheat flour]
yai / mayai [egg / eggs]
vitafunio; karanga [snacks]
mkate / mikate [bread / breads]
mandazi / mandazi [bun / buns]
sandwichi [sandwich]
kimanda [toast]
chapati / chapati [Indian flat bread]
ugali / sima [stiff cornmeal porridge]
njugu / njugu [groundnut / peanuts]
karoti / karoti [carrot / carrots]
choroko [green peas]
njegere [pigeon peas]
bamia [okra]
kisamvu [cassava leaves]
figo/figo
maini / maini
[kidney / kidneys]
[liver / livers]
matumbo / matumbo [intestine / intestines / tripe]
mbatata [Irish potatoes]
biringani / biringanya
mabiringani
[eggplant / eggplants]
saladi
brokoli
pasta
pizza
pipi
chokoleti
isikirimu
keki
mgando
mchanganyiko
supu
uyoga
uji
[salad]
[broccoli]
[pasta]
[pizza]
[candy]
[chocolate]
[ice cream]
[cake]
[yoghurt]
[mixture]
[soup]
[mushroom]
[porridge]
muhogo / mihogo
viazi vikuu
kaimati / kaimati
pilau / pilau
sambusa / sambusa
kande / pure
ndizi / matoke
ndizi / matoke
kibanzi / vibanzi /
chipsi
borohoa / kihembe
borohoa / vihembe
[cassava / cassavas]
[sweet potatoes]
[fritter / fritters]
[pilaf / pilafs]
[samosa / samosas]
[dish of mixed corn and beans]
[banana / plantain /
bananas / plantains]
[french fries]
[thick broth of cooked beans]
B). Spices [Viungo]
kiungo / viungo [spice / spices]
Bizari [curry powder]
Kitunguu [onion]
kitunguu saumu /
vitunguu saumu
[garlic / garlics]
nyanya [tomatoes]
mafuta [oil]
chumvi [salt]
sukari [sugar]
pilipili [pepper]
iliki [cardamom]
mdalasini
tangawizi
magadi
lavani
giligilani
mgiligilani /dhania
karafuu / karafuu
[cinnamon]
[ginger]
[baking soda / bicarbonate of soda]
[vanilla]
[coriander seed]
[cilantro]
[clove / cloves]
Zingatia [Note]
na [and]
pia [also; too]
lakini [but]
'다국어 > 01 각국언어' 카테고리의 다른 글
캄보디아어[캄보디아어 찬양] 주님다시오실 때까지 (0) | 2017.03.04 |
---|---|
[베트남어 회화] 레스토랑에서 주문하기 (0) | 2017.03.02 |
[인도어 회화] 힌디어회화 식당에서 (0) | 2017.03.02 |
러시아어 회화 (레스토랑에서 ) (0) | 2017.03.02 |
[라오스어회화 ] (ພາສາລາວ)전화걸기 (0) | 2017.03.01 |